Hiiii sheli ya koili moshi ilifungiwa Kwa ajiri ya hiii michezo ya kuibia watu Sasa walijua mnywarwanda kumbe MTanzania 💔😭😭 lita 100 nzima hmn meneger anambiwa anajibu hovyo na gari ipo kwenye pampu
Nina Sheria yangu moja kwenye hili. Ukija na emergency (Iwe ni genuine au fabricated) Nitakusaidia hiyo tu. Mizinga mingine yeyote itakayofuata Na-decline na Sijali. Ukisaidia zaidi ya Mara 1 unatengeneza dependency.