Nimesema mwanamke ukikuta hana bikra ni malaya. Anakuja mtu ananiambia kukosa bikra haimaanishi mtu ni malaya, kauli ya kipumbavu kabisa. Ni sawa uniambie eti kutokuwa na hela haimaanishi mtu ni masikini
Yaani Nikulipie Mahari, Nikulishe, Nikuhudumie, Nitoe Hela ya matumizi.
Wewe hakuna chochote unachangia ndani ya nyumba alafu unataka 50/50 seriously?
Kama unataka 50/50 kwanini usingeenda kunilipia Mahari kwetu na mimi?
Feminist acheni kushauri upumbavu
Ilikua 2019, Liver alipoteza game 1 tu kwenye game 38, alikusanya jumla ya point 97 ambazo hakuwahi fikisha tangu klabu ianzishwe. Lakin msimu huuo city alibeba kombe 😂💔