Kaulimbiu ya mwaka huu ni โMabadiliko Jumuishi kwa Mustakabali Endelevuโ, ikilenga kutambua mchango wa watu wenye ulemavu katika kuendeleza jamii na kuhakikisha wanajumuishwa kikamilifu kwenye mipango ya maendeleo.
#16DaysOfActivism2024#TokomezaUkatili#MabadilikoJumuishi
"Sisi wana MKUKI kwa kushirikiana na Serikali hususani Wizara ya @maendeleoyajami tuliamua kuja na kauli mbiu "Kuelekea Miaka +30 ya Beijing: CHAGUA kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto." ili kubeba muktadha mzima wa nchi yetu. Tunafahamu kwamba ni kipindi cha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na hivyo tuliona ni muhimu kuhamasisha Umma kufahamu kuwa wana mamlaka ya Kuchagua! Viongozi bora ambao hawavumilii ukatili wa kijinsia, lakini pia wana mamlaka ya kuchukua hatua kutokomeza vitendo vyote vya ukatili wa kijinsia." - Wakili @AnnaKulaya
"Leo ni Siku muhimu sana kwetu sote katika kuianza safari ya Kampeni kubwa ya #Siku16 za Uanaharakati Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia. Kauli mbiu ya kampeni mwaka huu inasema, "Kuelekea Miaka+30 ya Beijing: CHAGUA kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto." Wakili @AnnaKulaya
*Mubashara: Uzinduzi wa Kampeni ya Siku 16*
Fuatilia Mubashara Uzinduzi wa Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia 2024 kwa kubofya Link hapo chini:
https://t.co/NbzZjE1Yf7
Shiriki Mjadala kwa kutumia #TokomezaUkatili
๐งก Leo ni Novemba 25, mwanzo wa Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia kwa wanawake na wasichana.
Tushirikiane kupaza sauti na kuchochea mabadiliko!
#16DaysOfActivism2024#TokomezaUkatili
"๐ข Imebaki siku 1 tu! Kesho tunaanza rasmi Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia ๐งก. Mgeni Maalum, Mama Getrude Mongella, mwanaharakati mashuhuri wa haki za wanawake na usawa wa kijinsia.
#16DaysOfActivism2024#TokomezaUkatili
๐ข Imebaki siku 1 tu! Kesho tunaanza rasmi Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati dhidi ya Ukatili wa Kijinsia ๐งก. Sherehe za ufunguzi zitapambwa na Mgeni Rasmi, Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi (Mb), Waziri wa Katiba na Sheria.
#TokomezaUkatili@Sheria_Katiba@j_kabudi
Shiriki Kampeni ya Siku 16 kwa kufanya yafuatayo:*
1. Bofya Link hapo chini
2. Kisha chagua 'Choose Your Photo'
3. Chagua Picha ambayo ungependa
4. Kisha 'Download' picha husika
5. Share picha hiyo kwenye status
6. Tumia hashtag #TokomezaUkatili
Link: https://t.co/XXJu4tn6lE
๐ฅ Uko tayariiii? ๐ฅ
Ungana nasi katika uzinduzi wa Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia.
๐๏ธ Kauli mbiu: Kuelekea Miaka +30 ya Beijing: Chagua Kutokomeza Ukatili wa Kijinsia
#16DaysOfActivism2024#TokomezaUkatili
As we approach the 16 Days of Activism,itโs crucial to understand the forms of violence targeting women during elections and how to combat them.Letโs come together to learn and protect the rights and safety of women participating in politics.
Register here https://t.co/Y8br8JzYxH
Kuelekea siku kampeni ya siku 16, ni muhimu kufahamu vitendo vinavyowalenga wanawake wakati wa uchaguzi na jinsi ya kuvikabili. Njooni kwa pamoja tujifunze ili kulinda haki na usalama wa wanawake wanaoshiriki ktk siasa #16DaysofActivism2024
Jisajili hapa: https://t.co/proeLgXMiE
Join our partners and be part of the movement #TokomezaUkatili! Together, we can make a stand this #16DaysOfActivism2024 and work toward a future free from violence.
"November is the month of the 16 Days of Activism Against Gender-Based Violence Campaign. Letโs come together to raise awareness, support survivors, and demand justice. Every action counts in building a world free from violence. #16daysofactivism2024