Twitter Graphics/Design Kuna 30K Hapa Kwa atakaefanikisha Ku-design Logo Kali Ya "Arusha Icon" Chap chap 30K itatumwa kwa mshindi baada ya Kupiga Kura Hapa Hapa Twitter π
Rt iwafikie Wapwa Tafadhali ππ
Ilikuwa ni Mwaka 2000
Nilienda Mwanza Vijijini kumsalimia Bibi...
Jioni Moja bibi akawa ananipigia Story akaniambia...
Miaka ya 80's kulikuwepo na kijana Mmoja aliyeitwa..."Malendeja"
Malendeja alikuwaga mchunga ng'ombe Maarufu sana huko kijijini π