Serikali ya kaunti ya Taita Taveta inaendelea kuimarisha elimu ya chekechea kupitia miradi kadhaa.
Ujumbe huu umechapishwa na Mwanedu FM kwa ushirikiano kati ya @CodeAfrica,@Kcomnet,CAMECO na Shirika la Ujerumani chini ya mradi wa #OurCountyOurResponsibility.
Idadi ya wanafunzi wanaojiunga na shule za umma za ECDE iko juu katika kaunti ndogo ya Mwatate.
UJumbe huu umechapishwa na Mwanedu Fm kwa ushirikiano kati ya @codeForAfrica,@kcomnet,CAMECO na Shiraka la Ujerumani chini ya mradi wa #OurCOuntyOurResponsibility.