@Wolfman_6686 Kulikua na Afande mmoja(koplo) akiwa zamu ya Kombania na ukatekwa ukirudi usawa wa kombania anakugonga mahovyohovyo😁 anakuambia askari mzito unatekwaje kizembe,vitani si utauwa wenzako
🚨 Marcus Rashford returned at Carrington today and Man United believe he has serious chances to stay.
Rashford won’t consider Turkey/Saudi as destinations this summer.
#MUFC opened doors for Marcus to stay; Carrick, also involved.
🎥➕ https://t.co/Jd9ihYrnGm
Real Madrid have announced the signing of Yan Diomandé from RB Leipzig.
The reported fee of $144M plus add-ons makes him the most expensive African transfer ever 🌍🇨🇮
🚨 OFFICIAL: Young Africans SC wametambulisha jezi zao za mechi za ugenini na jezi ya tatu kwaajili ya msimu ujao wa 2026-27. 🇹🇿👕🟡⚫️
•Jezi ya ugenini - Njano
•Jezi ya tatu - Nyeusi
Unazipa asilimia ngapi huu uzi wa Wananchi kati ya 1/10 ?
#africanfootball
🚨 Petro De Luanda 🇦🇴 wamewekeza jumla ya KZ 455m (Tshs Bilioni 1.3) kwaajili ya kumpata Aurélio Depu (26)
Ofa ya Mkataba ni miaka miwili wenye chaguo la kuongeza mwingine mmoja
Atakuwa ndiye mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi ndani ya klabu hiyo.
🔰Hakuna mchezaji yoyote duniani kwenye world football anakuwa top graph kwa muda wote anapokuwa kiwanjani
Daraja alilofikia Shalulile akitokea Mamelodi na ukiangalia top players wetu na umri wao .. unaona Peter Shalulile akiongeza Quality Kubwa
Yanga imeongeza kitu bora 🐐