Kwanini bro watufanyia hivi @Jibrilblessing saivi tumetuma 11k kwanini kma si wewe tafadhali ni contact nkupe ushaidi wote mana mpka voice recordings nkiongea na wewe
@elishamokamba wizi sio kitu cha kufanya na kikweli mnamuharibia jina @Jibrilblessing na nawaonya nyote mnaosoma hii post mjitahadhari maana mi nsha coniwa 11k taar na hawa watu wanafaa kuanikwa, alafu bro @Jibrilblessing ukielezwa mambo kma haya usilete kiburi @DjJoeMfalme