Unapohesabu makosa yangu Usisahau na mema yangu..
Nitunzie mapungufu na madhaifu yangu kwa watu usije ukasema, bila kujali n akina nan ktk maisha yng.
Najua umevumilia vingi tena vyenye thaman kushnda hata shilingi ...
Me n mwanadamu sjakamilika
Mpaka sku ya mwisho watakayonizika🤤 Am sorry I know I did wrong for U Plz Forgive me.
Upendo,Heshima,Busara zako na Upole wako kadhalika haviwezi kusahaulika
Tunaish Yale Tumeandikiwa Tuyaish
Only God knows