Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.
Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.
1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN
6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN
1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN
🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.
👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene amesema maandamano yasiyo ya kikomo yaliyopangwa kufanyika kuanzia kesho December 09,2025 hayana kibali na ni haramu huku akisema kama yale ya October 29 yalisababisha Watu kufariki na hasara nyingine kubwa na haya ya kesho yanasemwa yatakuwa makubwa zaidi ya yale basi kwa hakika hayo ni mapinduzi na sio tu maandamano.
Akiongea leo December 08,2025, Simbachawene amesema “Hali ya usalama wa nchi yetu mpaka sasa ni shwari inaendelea kuimarika baada ya shida tuliyoipata October 29 na vurugu zikatokea, hasara nyingi zikatokea, mali zikaharibika, Watu wakafariki, shida ambayo nisingependa itokee tena maana hasara yake mpaka sasa tunaumia nayo, nitoe pole kwa walioathirika na jambo hilo”
“Nawashukuru Viongozi wetu wa Dini bila kuwataja, kwa nyakati tofauti wametoa kauli za kutia moyo na kufundisha Waumini wao juu ya amani katika Taifa, wamefanya kazi nzuri kulituliza Taifa, December 03 Polisi walitoa taarifa ya tukio jingine linalohamasisha na Wanaharakati mbalimbali wasioitakia mema nchi yetu kwamba kesho December 09 kuna Watu wamehamasisha maandamano yasiyokuwa na ukomo”
“Maandamano hayaonekani yameombwa na nani? kwa utaratibu gani?, maandamano yanayoruhusiwa na Katiba yetu ni yale yanayoombwa na Watu mahususi na yanakuwa na ujumbe mahususi, yanaeleza yatafanyika wapi na yatatoka wapi hadi wapi ili Polisi wawe na taarifa, haya December 09 tunaambiwa ni makubwa kuliko ya October 29 yaliyosababisha Watu wakafa, sasa haya tunayoambiwa makubwa kuliko yale hayo sio maandamano hayo ni mapinduzi”
“Maandamano hayo ni haramu, hayaruhusiwi, wale ambao wanashabikia, wanaona wameichoka amani, tuwaombe sana maandamano hayo hayakubaliki kwahiyo Vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti, tunawaomba Wananchi wasiohusika na mpango huo kutoshabikia iwe mtandaoni au kujitokeza kwenda kuangalia au kuchungulia tu wanachokifanya, Wananchi wasithubutu kujitokeza maana maandamano haya ni haramu”
#MillardAyoUPDATES
@realDonaldTrump
Dear Mr. President,
My name is Mange Kimambi, and I am a Tanzanian pro-democracy activist who has been living in the United States since 2012. I am writing to bring to your attention what I believe to be a grave injustice committed against the people of Tanzania and myself by Meta, and to respectfully request your support in defending democratic activism and freedom of expression online.
Recently, my Meta accounts — including Instagram (@mangekimambi80), Instagram News media page owned by me (@wananchiforum), and my WhatsApp number (+1 424-537-3057) — were deactivated after I raised awareness about a series of severe abuses and horrific events occurring in Tanzania. These include, the kidnappings of regular citizens and kidnappings, killings and imprisonment of opposition leaders on fabricated treason charges, the barring of opposition parties from participating in the general election, widespread corruption, misuse of public funds, and the large-scale looting and exploitation of Tanzania’s natural resources by foreign governments such as the UAE, China, Oman, and most recently Russia, which is currently seeking access to Tanzania’s significant uranium deposits. Despite the country’s natural wealth, millions of Tanzanians continue to live in extreme poverty and lack even basic necessities — including clean drinking water — due to systemic corruption.
For months, I used my platforms to highlight these issues and consistently encouraged PEACEFUL protests, as many Tanzanians feel there is no safe alternative for expressing dissent. The government has been widely accused of kidnapping, torturing, or killing individuals who speak out against injustice, which makes digital communication one of the only remaining tools for civic engagement. Every post I made emphasized peaceful, non violent protests.
On October 29 2025— the day of the general election — protests led largely by Gen Z erupted across the country. These demonstrations were met with extreme state violence. Thousands of young Tanzanians were killed and many more injured as security forces responded with lethal force. The African Union, SADC, and the EU Parliament have all publicly condemned the compromised electoral process and the deadly violence that followed. Most Tanzanians view the President, Samia Suluhu Hassan — who claimed 97% of the vote — as an illegitimate president who chose to kill thousands of Tanzanian youth instead of stepping down from power. Numerous photos and videos documenting these horrific events and deaths remain visible on my X account (@mangekimambi).
My social-media platforms were essential tools for communicating with supporters, organizing peaceful civic action, and documenting human-rights abuses in real time. Their removal has severely hindered the ability of Tanzanians to access truthful information and to organize safely. Traditional media inside Tanzania has been effectively silenced; journalists who speak out risk being kidnapped, disappeared, or killed. This leaves social-media platforms run by diaspora activists like myself as one of the last remaining channels for Tanzanians to document and expose abuses.
I respectfully ask that you publicly urge Meta to reinstate my accounts without delay. I also request that you encourage Congress to consider legislation that grants activists and individuals with significant public platforms meaningful legal recourse when their accounts are removed without transparency, due process, or a clear path to appeal. Millions of people around the world — especially those advocating for democracy and human rights — depend on platforms such as Instagram, Facebook, X and TikTok to have their voices heard. In today’s world, where civic freedoms and personal safety often depend on digital communication, these companies must be held accountable.
On the same day my accounts were removed, another prominent Tanzanian activist, Maria Sarungi @MariaSTsehai saw her Instagram page
Mkti Tundu Lissu anasema ,
Msikubali kupita njia isiyo na haki. Mimi niko imara na sina shida hapa nilipo! Mimi nikifia humu jela, lakini nyinyi mkakaza, jueni mtawasaidia wananchi. Nikifungwa, mkakaza katika haki bado mtawasaidia wananchi. Na nikiachiwa, tukakaza wote kwa pamoja, vilevile tutawasaidia wananchi. Lolote kati ya hayo matatu lina faida kwetu kama tusipozimia mioyo. Kuweni IMARA. 😭😭😭😭
Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri 🗣️🔥
Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI ,
⛔️ Usihudhurie show zao.
⛔️ Wa-unfollow kila kona, Instagram, TikTok, YouTube, X, kila mahali.
Mkiamua kufanya hivi nationwide, mna wakata mrija wao wa uchumi faster kuliko maneno. Hawa watu watajua kuwa nguvu yao inatoka kwa nyinyi, na bila support ya Gen Z hakuna “star” anasimama.
Hakuna longo longo hapa.
Ni simple: “Sichukui content yako, sitoi hela yangu, na naheshimu utu kuliko kiki.”
Sasa twendeni kazini machalii na mabridaz wangu 🙌🙏Hakuna tena ‘niaje niaje’ , tunaplay smart, tunaplay silent, tunaplay power.
Machalii , si ndio hivyooo Chalii yanguu!! Twende Job na Mabro tuko nyuma yenu 🙏🙏🙏🙏 One Love man❤️❤️
‼️🚨ALERT🚨‼️
Kuna taarifa na video nimetumiwa ambazo nimeshindwa kuthibitisha independently kuwa Humphrey Polepole ametekwa Dar es Salaam na wahuni akina Mafwele!
Unverified reports coming in that former ambassador to Cuba Humphrey Polepole has been abducted in Dar Es Salaam by Mafwele and his gang
As we await verification we still demand @tanpol to stop acting illlegally and if arrested it should be made public!
#FreeHumphreyPolepole
ANAANDIKA DADA WA TAIFA @mangekimambi
Naomba niwaambie Watanzania kuwa sapoti alivonayo captain Tesha ndani ya ieshi ni kubwaaaa mpaka inatisha.
Yani ni hivi, wanajeshi wanasema Tesha kaliheshimisha jeshi lao kuliko Mkunda. Mambo yanazidi kuwa mazito. Wanajeshi wako na Tesha kwa asilimia 100% Na zinakuja video zingine za wanajeshi wakikazia msimamo wa Captain Tesha.
Yani ni hivi, hakutokuwa na serikali ya Samia for the next 5 years. Moja kati ya haya mambo matatu vatatokea hapa,
1. Samia atakubali kuheshimu matakwa ya wananchi na kusitisha kampeni zake na kutoa katiba mpya.
2. Tarehe 29 wananchi wanaandamana na kuchukua nchi yao, tutapata Katiba mpya na uchaguzi kurudiwa.
3. Jeshi litachukua nchi muda wowote kuanzia sasa na tarehe 29 Oktoba au baada ya.
Yani ni hivi hakutokuwa na serikali ya Samia for the next 5 years. Watanzania hii mechi tumeshashinda ni vile Kikwete na Samia wana delay kukubali kuwa tumewashinda.
Ila dah. bado siamini Tanzania imefika hapa kisa tu Kikwete na Samia wamenogewa na kujilimbikizia mali.
TUTAKUWEPO🫵😎