@AdvocateMengi1 Babu hio ya beberu sio korogwe ni Muheza moja hioo!Ni kila Ijumaa lazima ukawekwe na beberu ukifika apo kwa Mzee mangube unakuta V8 zimejaa raia wanasubiri "paipu"!
@mfinanga_rm Babu na bibi zetu waliuzwa kama watumwa,kuteswa,kutupwa baharini,kubakwa na kuuliwa kinyama mbona watoto wa wazungu na waarabu hawalipii huo unyama?Au haya mambo yakulipwa ubaya ni kwa ngozi nyeusi tu?πππ