@DorahManya@RadioTaifaFM maisha ni safari magumu twapitia mazuri twapitia yote lazima tupitie. Biafra Eastleigh tuko pamoja nimeamka salama nashukuru waamke Moses Imbwga, Khamede Muluhya, Montford Kiribwa, Mary Kibe, Sergeant Gitonga na Senator Maggie watune #Zinga
@DorahManya Amen Amen nisiwe chumvis yenye imepoteza ladha bali niwe chumvi yenye ladha. Himizo nimepokea Biafra Eastleigh tuko pamoja Philip Musungu, Khamede Muluhya, Sergeant Gitonga, Mama Mumbi, Elphas Konzolo, Sally Adisa, Mika Aluda wawe na wiki njema ndani ya #Zinga
Ni wakati wa neno!
Kaa mkao wa kupokea mafunzo ya kujenga na kuimarisha kutoka kwa Wanamatengenezo "The Reformers" ndani ya #Pambazuka na Sally Mbeyu
#RadioNumberOne
@DorahManya@RadioTaifaFM Biafra Eastleigh tuko pamoja ndani ya #Zinga wiki yenye baraka kwako studio na
Philip Musungu, Khamede Muluhya, Sergeant Gitonga, Sally Adisa, Mika Aluda, Mama Mumbi na Elphas Konzolo ujumbe liko tumaini #Zinga#Zinga
@DorahManya Happy New month Dorah nimeamka salama Mungu ni mwema nashukuru kwa kuona mwezi huu wa kumi mwezi mpya wa Baraka kwa
John Asacha, Montford Kiribwa, Elizabeth Onyango, Odondi Japheth, Milcet Chebet , Elphas Konzolo na wote wanao sikiza #Zinga@RadioTaifaFM
@DorahManya Biafra Eastleigh tuko pamoja nimeamka salama nashukuru Mungu kwa uhai. Waamke
Philip Musungu, Mary Kibe, Mwenye kiti wa ibeba, Mary wa Mpeketoni na Elphas Konzolo. Ujumbe Bwana atushike mkono tusidhame mawimbi ni mengi njiani ahsante kwa himizo #Zinga#Zinga#Zinga