Watanzania, msidhani kama Mwananchi wamechapisha hii bahati mbaya. Hiyo heading tu iliyotumika inakwambia kila kitu, eti Chaumma inapambana na Chadema kwenye michango, Kha!!! Hao CCM tu hawana ushawawishi wa kupambana na Chadema kwenye kukusanya michango unless michango ya wale matajiri wao wanaonyonya nao nchi ndio Chaumma waweze??? stupid kabisa. Yani hii posti tu ilivyowekwa inakwambia kila kitu. Hii ni project ya Samia na Kikwete kupiga marufuku michango ya Watanzania kwa Chadema.
Hakuna mtu anaechangia Chaumma, sidhani kama hata wamekusanya laki. Chaumma wanafanya kazi ya CCM ili CCM watakapopiga marufuku michango ya wananchi kwa vyama vya siasa ionekane kama hawakuwalenga Chadema.
Ila point nzima ni CCM wanajaribu kukata connection kati ya Watanzania na Chadema ndio maana wamekataza mikutano ya hadhara na sasa wanaenda kupiga ban michango ya wananchi kwa Chadema.
Watanzania msiogope, huu unyanyasaji ya uminywaji haki utaisha. Cha msingi hakuna kurudi nyuma tuendelee kupambana.
Mnasimama hadharani na kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kwamba kuna hali ya hatari na usalama ni mdogo. Siku chache baadae mnatangaza kwamba wanaharakati ni magaidi. Mnakwenda kuwakamata watu zaidi ya 60 kwa uongo. Mnawapa mashtaka ya uongo ya ugaidi. Mnasahau kwamba mnatakiwa kuandaa AFCON ifikapo Juni 2027 na mnatakiwa kuendelea kupokea watalii na wakati huo mnatakiwa kuwavutia wawekezaji na mnatakiwa kuwaaminisha mababeru kwamba mnalinda demokrasia ili wafungulie mikopo na misaada. Hayo yatafanyika vipi katika ardhi yenye magaidi wengi kiasi hicho? Hivi nani ni mshauri wenu?
DPP kapigwa PAIPU ya sheria huko kaacha NDALA.
Dunia nzima inajua LISSU sio muhaini. Tunajua mnajua nguvu yake akiwa huru ndio inawaumiza VICHWA.
Aliepewa kapewa, Lissu kapewa kupendwa na WATANZANIA hata mfanyaje hilo halijikubadilika.
MUACHIENI MZEE WETU.
REPOST 200
Top Lawyer, Top Leader, Top Character!
Umeshinda hujuma za dola kuongeza ushahidi wa ziada ktk kesi ya uhaini.
Jaribio hilo lilikuwa afterthought, baada ya kupiga chini 100% ya ushahidi wao.
ONYO: Muachieni au njooni awavue nguo tena!
Free Tundu Lissu Now!
🚨‼️JIBU LIMEPATIKANA‼️
Askofu Bagonza na wengine walimhoji Nchimbi anaposema tupambanie Katiba Mpya tunapambana na nani?
Leo kikao cha NEC majibu yamepatikana!
Bashite kapendekeza Nchimbi apelekwe kamati ya maadili na alizomewa kweli na wajumbe - kisa eti kadanganya umma kuwa kimama kinataka Katiba Mpya
Kimama kikaamua eti sawa apelekwe kamati ndogo ya maadili
Wajumbe wamelipuka!
Sasa tushajua tunaopambana nao na wanaozuia Katiba Mpya mbona?
Acha inyeshe tujue panapovuja! Komaeni huko ndani watanganyika hakuna kurudi nyuma 😁 hii nchi si kiosk ya Bi Kizimkazi! Peleka motooo 👊🏽🔥
#TutaelewanaTu
🔥‼️ABDUCTION ATTEMPT FOILED‼️
This vehicle was tracking Vice Chair Heche and asking where he was staying in Mwanza this morning
After people started gathering it drove away but its plate numbers are fake and it is officially registered to a Caterpillar vehicle (truck or excavator)
This is how the state operates under the murderous cabal of Samia Suluhu
#SamiaMustGo
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mhe. @HecheJohn, amewasili mkoani Simiyu.
Mara baada ya kuwasili, ameanza ziara ya mtaani kuwahamasisha wananchi kuchangia #ToneTone.
Leo, Mhe. Heche atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu Maalum wa CHADEMA Mkoa wa Simiyu.
As I was saying #TanzaniaIsNOTSafe
Thank you @ABC for covering this securiry concern in #Tanzania
Mnalipa agency moja 40k$ kwa mwezi huko US wawafanyie PR huku mnaharibu wenyewe! Ndo maana nasema CCM na serikali ya sasa ni wapumbavu wa kutupwa! Ila #TutaelewanaTu
https://t.co/pMkxwLl5tA
Hii ni picha ya CCTV ya watu waliokuja kunifuatilia nyumbani kwangu.
Wameulizia nyumba yangu, na baadae wakaondoka bila hata kutaka kuingia au kueleza kwanini wanatafuta nyumba yangu.
Tumefuatilia hiyo gari na kugundua kwamba namba za usajili inazotumia sio namba halisi..
Namba hizo T318 EQJ ni namba zilizosajiliwa kwa magari ya kulima barabara sio namba za Land Cruiser hardtop hiyo.
Polisi wanapaswa kutuambia hao ni kina nani na nia yao hasa ni ipi kwangu.
Hatutakubali kuishi kwa hofu kwenye Nchi yetu.
Mambo ya aina hii yanaweza kuingiza Nchi kwenye hatari kubwa sana .
Watanzania sisi tutafanya kazi yenu bila hofu, msikubali kuona viongozi wenu wanatishiwa.
Huyo ni SULEIMAN MOMBO kazini. I think nilishawaeleza Watanzania kuwa Samia ametoa order kwa Usalama wa taifa kumuua Heche iwapo hatofanikiwa kumuondoa kwenye nafasi ya uongozi Chadema kwa kumchafua.
Kama ulichukulia simple lile onyo naomba kila mtu achukulie serious. Samia yuko tayari kuua yoyote yule ambae anazuia maridhiano ya kihuni anayoyafosi na Chadema. Na ndo maana bado kashupaza shingo juu ya kumtoa Lissu ingawa dunia nzima inapiga kelele amwachie. Anajua Lissu ndo kabisa hatokubali huo upumbavu.
Naposema maridhiano ya kihuni naomba muelewe kuwa Samia hataki any international mediator, yani baada ya mauaji aliyoyafanya anataka akae na Chadema kienyeji ili Chadema wamuhalishe kama rais halali wa Tanzania and that WILL NEVER HAPPEN!!!!!!!
@SuluhuSamia MARIDHIANO YA KIHUNI NA WAUWAJI WA OCTOBER 29 WATANZANIA TUMEYAKATAA. UTAUWA NA KUBAMBIKIA WANANCHI KESI ZA UGAIDI ILA MARIDHIANO YA KISHENZI UNAYOYAFOSI HAYATOFANYIKA NG’OOO!!!!!!!
‼️MAHAKAMA YA RUFANI YATUPILIA MBALI MAOMBI YA MAREJEO YA DPP KATIKA KESI YA TUNDU LISSU‼️
Mnamo tarehe 18 Februari 2026, Jamhuri iliwasilisha Notisi ya Nyongeza ya Ushahidi (Notice of Additional Substance of Evidence) chini ya kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA), ikikusudia kuwasilisha ushahidi wa ziada kupitia shahidi ACP Amini Mahamba.
Hata hivyo, tarehe 24 Februari 2026, Mahakama Kuu ilitupilia mbali notisi hiyo baada ya kubaini kuwa kifungu hicho hakiruhusu shahidi ambaye tayari alishatoa ushahidi kurejeshwa ili kuwasilisha ushahidi wa ziada. Kufuatia uamuzi huo, tarehe 3 Machi 2026, Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliwasilisha maombi ya marejeo katika Mahakama ya Rufani kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu. Maombi hayo yalisikilizwa tarehe 3 Julai 2026.
Leo, tarehe 30 Julai 2026, Mahakama ya Rufani ya Tanzania imetupilia mbali maombi hayo ya marejeo na kuthibitisha uamuzi wa Mahakama Kuu. Mahakama imeeleza kuwa Mahakama Kuu ilitafsiri kwa usahihi kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, ambacho hakiruhusu upande wa mashtaka kumrejesha shahidi ambaye tayari alishatoa ushahidi ili kuwasilisha ushahidi wa ziada.
Uamuzi huu unaweka mwongozo muhimu kuhusu tafsiri na matumizi ya kifungu cha 308 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai na unasisitiza umuhimu wa kuzingatia taratibu za kisheria katika uwasilishaji wa ushahidi wakati wa mwenendo wa kesi za jinai.
Wakili @Advocate_Kisabo
Julai 30, 2026.
‼️🚨 🔥#BREAKING NEWS!!! COURT OF APPEAL CRUSHES THE DPP!!! 🚨‼️
DPP’S REVIEW APPLICATION THROWN OUT LIKE GARBAGE!!!
Today, 30 July 2026, the Court of Appeal of Tanzania has SLAMMED THE DOOR in the face of the Director of Public Prosecutions (DPP) and COMPLETELY DISMISSED his application for review in the Tundu Lissu case!!! @TunduALissu
They said ABSOLUTELY NOT!!!
‼️ALERT‼️
Hii ni picha ya CCTV ikionyesha Watekaji wakiwa Getini kwa Mhe. @HecheJohn
Nduli Idd Amin Mama na vibaraka wake wanahangaika sana, wamemfunga Mhe. Lissu kwa kesi ya mchongo sasa hivi wanamuwinda Mhe. Heche.
Ikumbukwe wiki kadhaa zilizopita watu wasiojulikana walimuua kwa sumu Dereva wa Mhe. Heche, Mzee Suez Daniel Maradufu.
‼️ALERT ‼️
Leo Makamu Mhe. John Heche yupo Simuyu Wilaya ya Bariadi.
Hii Gari inamfuatilia Heche tangu asubuhi, tumeangalia kwenye usajili hii namba inaonekana ni Trailer la mizigo na sio ya Land Cruiser.
Hawa ndo watekaji wenyewe ndo maana wanatumia plate number feki ili kuficha utambulisho wao.
Mpaka zero brain la taifa linatoa milio na bado.
Alafu mimi nayashangaa yanavyoongelea 2030 as if kuna uchaguzi ulifanyika 2025.
Kinachochekesha yanawaza yenyewe kupeana Urais 2030 na sio kutoa haki kwa Watanzania ili waweze kuchagua Rais wanaemtaka. Alafu wanaita wananchi wanaodai haki magaidi. Hiki kinachofanywa na kina Bashite ndio ugaidi wenyewe.
VIDEO:
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea na msimamo wake wa kupinga vikali wito wa maridhiano unaotolewa na serikali na baadhi ya wadaku kikieleza kuwa maridhiano yatakubalika ikiwa tu serikali itakiri makosa kutokana na yale yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na kumuachia Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Tundu Lissu.
Akizungumza siku ya Jumatano Julai 29, 2026 kwenye Mkutano Mkuu Maalumu wa CHADEMA Mkoa wa Mwanza uliofanyika katika soko la Mbao, Kata ya Igoma Jijini Mwanza, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche amesema,
“Sisi hatutakubali, na wala tukisema hivi, mtu asiseme kwamba sisi sio watu tunaotaka majadiliano, kuna watu wameomba majadiliano kwenye nchi hii kuliko CHADEMA? ‘We were the first’ tangu zama za Magufuli kuwaambia tunaenda njia mbaya, mkishafika huko mtashindwa kurudi, tuokoe hii gari kabla haijadumbukia mtoni wakasema na iende mtoni, Sasa gari iko mtoni wanatuambia CHADEMA tuitoe humu”.
Terrorism is a serious problem in Tanzania.
Never in the country’s history have so many citizens been arrested on terrorism charges in such a short period. In just two months, Tanzania’s illegitimate government has arrested more than 130 terrorists.
Tourists and investors should take notice. If the government itself claims that terrorism is spreading at this scale, it raises serious questions about the country’s stability, security, and the rule of law.
SWAHILI
Ugaidi lazima umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania.
Katika historia yake, Tanzania haijawahi kuwakamata raia wengi kiasi hiki kwa tuhuma za ugaidi ndani ya kipindi kifupi. Katika miezi miwili tu, serikali haramu ya Tanzania imewashitaki zaidi ya watu 130 kwa makosa ya ugaidi.
Watalii na wawekezaji wanapaswa kuchukua tahadhari. Kama serikali yenyewe inadai kwamba ugaidi umeenea kwa kiwango hiki, basi hilo linaibua maswali makubwa kuhusu usalama, utulivu wa nchi, na utawala wa sheria.