الدواجن:
ُسمَّيت بهذا الاسم لأنها من الفعل (دَجَنَ)، أي أقام بالمكان وألِفَه.
فسُمِّيت الطيور المستأنسة دواجن لملازمتها البيوت والمزارع وعيشها مع الإنسان ويُقال: “طائرٌ داجن”؛ أي أليفٌ مستأنسٌ لا يبرح مكانه. 🐓🌾
معلومة لطيفة: كلمة الدواجن في العربية لا تختص بالطيور فقط، بل قد تُطلق على كل حيوانٍ أَلِفَ البيت واستُؤنس، وإن كان استعمالها اليوم يغلب على الطيور المنزلية
Anasema Ibn Rajabu Al-Hambalī [Allah Amrehem]:
وأصل محبة المال والشرف من حب الدنيا، وأصل حب الدنيا اتباع الهوى
Na Asili Ya Kupenda Mali Na Ukubwa Ni Katika Kuipenda Dunia, Na Asili Ya Kuipenda Dunia Ni Kufata Matamanio
[مجموع رسائل العلامة ابن رجب (٣/٦٨)]
I am a Muslim, and I can make mistakes. If I do, blame me, not Islam. Islam is a serious religion, and it cannot be blamed for the mistakes of individuals. I believe Islam is the original and true religion.
Manhaj salafi ni Daawa Mubarak inayowalea waislamu kurudi kwa dini waliokuwa Masahaba wa Mtumeﷺ.Ufundishe moyo wako kukubali Manhaj Salafi (Haki) ili kutengeneza maisha mazuri ya kudumu kesho akhira pia ni ngao thabiti inayokuza jamii iliyosimama kwa tawhiid na Sunnah.
ILI TAIFA Lipone linahitaji mambo Muhimu 5
1. Tume ya Ukweli,Haki na Uwajibikaji kuhusiana na matukio ya Mauwaji na upotezwaji wa watu na Miili Kabla,wakati na baada ya uchaguzi
2.Kuachiliwa kwa mahabusu wote ,wafungwa wakisiasa ikiwamo kuachiliwa kwa Wakili Tundu Antipas Lissu.
3.Kuhuishwa kwa sheria ya Uandikwaji wa Katiba Mpya na Kuweka utaratibu utakao anzia pale Tume ya Warioba ilipoishia.
4.Kuruhusu Uchunguzi huru wa Kimataifa kuhusiana na matendo yote yanayohusiana na ukiukwaji wa haki za Binadamu na haki za kiraia.
5.Raia wote kujikana kukataa rushwa,hofu,woga,kukataa hila na ghilba za kisiasa na kutanguliza maslahi Mapana ya Taifa mbele
UKWELI,HAKI NA UWAJIBIKAJI UTALIPONYA TAIFA.
BAK MWABUKUSI.
Kuku sasa baadhi ya maeneo anauzwa 50K! Bora sasa tukomae na samaki wa Lubasha kabla na yeye hajapandisha bei! Akipandisha naye, “tunafunga ndoa” na maharagwe. Tunarudi kwenye asili
[Muda Ambao Watu Wanashindana Kujenga Dunia Yao, Sisi Tushindane Kujenga Akhera Yetu]
Anasema Al-Hasan Al-Baswrī [Allah Amrehem]:
إذا رأيت الناس يتنافسون في الدنيا، فنافسهم في الآخرة، فإنه تذهب دنياهم وتبقى الآخرة
Utakapo Waona Watu Ni Wenye Kushindana Katika Kuipata Dunia, Bas Shindana Nao Katika Kuipata Akhera, Kwani Hakika Si Vinginevyo Dunia Yao Itaondoka Na Itabaki Akhera
[صحيح لغيره]
[كتاب الزهد للإمام أحمد بن حنبل (٢٣)]