ZIRO KOTEKOTE!
Huu ni Unafuu uliopitiliza, Ni rasmi sasa wateja wa Azampesa wanaweza kufanya miamala BURE kwa Azampesa.
Miamala inayofanywa BURE ni pamoja na:
Kutuma pesa Azampesa - Azampesa
Kutuma pesa Azampesa kwenda mitandao mingine
Kununua LUKU/TUKUZA
Kufanya malipo ya serikali
Kulipia Bili (Vingamuzi vyote)
Kukata Tiketi
Kufurahia huduma hii jisajili sasa na Azampesa kupitia Azampesa App.
https://t.co/y0PSpLvsCL
#azampesa #jisajilisasa #zirokotekote #usikubalikupigwa
Faida 3 za kupokea pesa kutoka nje ya nchi:
@NALAmoney kuja @AzamPesa.
1. Instantly (Pesa yako unapata hapo hapo).
2. Bonus. Unapewa salio la ziada AzamPesa.
3. Baada ya kupokea, Unafanya miamala na AzamPesa kwa gharama nafuu sana.
Kwenye maisha kila mtu anastahili connection. Hakuna tuzo kwenye kuteseka.
Na kwenye miamala unastahili kutuma pesa bila makato makubwa.
Kitonga ni muhimu kwa kila mtu.
Iko hivi, unamtumia Bi-Mkubwa laki Moja
Makato ni 1,400. Akienda kwa wakala kutoa anakatwa tena 4000.
Kwenye laki moja umetumia Zaidi ya ELFU TANO kwenye makato. Angalia unavyopoteza pesa na huo mtandao wako. "Kikulacho kinguoni mwako."
Sisi sio watesi๐