Henry Omollo na Andreas Odhiambo waifungia Emerging Stars katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ivory Coast ugani Nyayo, duru ya raundi ya pili Kwanza kufuzu 2027 AFCON U23.
Hongera kwa vijana wa kocha Anthony "Modo" Kimani
Mhubiri tata Paul Mackenzie ahukumiwa kifungo cha miaka 200 gerezani kwa mauaji ya watu 191 wakiwemo watoto 190 kwenye sakata la msitu wa Shakahola kaunti ya Kilifi.
FT: USA 6-1 Junior Starlets (Lindey Weey Atieno 90')
Kenya watamaliza mechi za kundi E this Sunday against Samoa.
Hongera warembo wetu licha ya kichapo😊
#FifaU17WomensWorldCup
Full Time From Nyayo Stadium 🏟️
Gor Mahia 4-2 Murang’a Seal
Goals From:
⚽⚽Shariff Musa
⚽Jackson Dwang
⚽ Alpha Onyango
Josephat Lopaga⚽⚽ (for Seal)
📸 Bracho
#TunapendaMechi
Talanta Sports Complex is set to host its first series of matches after World Rugby confirmed Nairobi as the opening venue for the 2027 HSBC SVNS 2 tournament. The competition will take place on January 23 and 24, 2027, marking an important sporting event for the new complex
BREAKING: Formula 1 will return to Africa after it was confirmed Rwanda will host races from the early 2030s.
A 10-year agreement has been signed for the African Grand Prix, presented by Visit Rwanda.
Jentrix Shikangwa bags a hat-trick as Harambee Starlets crush Seychelles 11-0 at Ulinzi Sports Complex, advance to 2nd round of 2028 Olympics qualifiers with a 22-0 aggregate victory.
Kenya confirms first-ever imported Ebola case in citizen who travelled from DRC via Kampala aboard Jambojet; patient has since died, Health CS Duale confirms.
Kenya confirms first-ever imported Ebola case in citizen who travelled from DRC via Kampala aboard Jambojet; patient has since died, Health CS Duale confirms.
Ni uchungu sana KENYA Police Bullets FC imelazwa 1-0 na Kawempe Muslim Ladies ya Uganda kwenye fainali ya Cecafa kwa wanawake huko Kigali na kupoteza nafasi ya kucheza #CafWomensChampionsLeague Kwa mara ya tatu mfululizo.
Kenya Police Bullets FC washinda mechi yao ya pili ya Cecafa kufuzu kwa #CAFWomensChampionsLeague ugani Pele Rwanda.
Wamewapiga Top Girls Academy ya Burundi 3-1 na kufuzu hatua ya muondoano.
👏🏿👏🏿👏🏿
Kocha wa zamani wa Harambee Stars Adel Amrouche ameshinda kesi dhidi ya shirikisho la soka la Rwanda (FERWAFA) na limeamrishwa limlipe pesa za Kenya Milioni 46.5 kwa kumtimua kibaruani kinyume cha sheria mapema mwaka huu.