Umeanza na 'vibe' gani wiki hii?
Some new drops just hit our playlist 🎶 🔥
feat. @barcitybaby , @mex_tz@bill_nass na wengine.
🔊 Listen now! https://t.co/f78GPLLOcQ
Katika kuipambania game ya Bongo kuna namna DJ CHOKA ana sehemu yake.
Anaweza kuwa haimbwi sana ila madogo wanatakiwa wajue kuwa watu walifanya sehemu yao kwa hii game na kwa upendo mkubwa.
Chukua maua yako Anko Choka.
Dunia inaelekea kusherehekea siku ya wapendanaoDuniani (Valentines Day) je umepanga kumpa zawadi gan yule unayempenda! options zipo nyingi Kwetu ikiwemo hii hapa simu ya kipekee inayokunjika mara 3 yani tri folding Huawei Mate XT kwa bei ya punguzo la Valentines Tsh
16,500,000/-
"Jumapili imewadia, ni wakati wa beach vibes kama kawaida! Hii Sunday usikose kupitia UPEPO GARDEN MBEZI BEACH kwa burudani ya kipekee!
@Yungtz_ent na @byzindahood watakuwa na mpango maalum na Mzee wa Kinamba Namba mwenyewe, @bill_nass
Kiingilio bure
@eastafricatv katika Yote Niliyoandika…Hapo ndo Mmeona Kuna Kichwa cha Habari… Mnabadilisha Dhumuni zima la Ujumbe niliotaka kupeleka kwajili ya interactions…