Leo kwenye Feedback tunapata ufahamu wa ongezeko la kodi lililotangazwa mwishoni mwa wiki iliyopita nitazungumza na Dr. Aman Mdewa Nthangu(PhD)
-Mhadhiri wa chuo kikuu Cha Dar es Salaam-Shule mkuu ya biashara
-Mbobezi wa biashara za kimataifa na uwekezaji kutoka nje ya nchi