Ladies KOMBE LA DUNIA LIMEANZA LEOππwanaume zenu wamenituma niwaambie huu muda wanahitaji utulivu wakiwaambia wanachelewa kurudi muwe waelewa jaman GAME NYINGINE ZIKO ALFAJIRI UKOπππ
NAWASILISHA mi yenyewe ntakua busy kufatilia mpira na MIKEKA YANGUπππ
@FamWorld2025 Hii ngumu ngoja nijaribu, Maana halisi ya maisha ni kuishi (Uhai)
Na ku'win kwenye maisha ni kuwa hai, Kwangu mimi kitendo cha kuwa hai naona ni kama tayari nimewin
Hizi nyingine ni sisi binadamu tunajipangia tu.
Time to wear your confidence β β¨
β Water resistance
β Guinine leather
β High quality
Price - 70,000
Check me on WhatsApp https://t.co/FC9Bdt1G1qβ¦