CCM INAANDAA VIONGOZI HAIOKOTEZI VIONGOZI-KIHONGOSI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, uenezi na mafunzo ndugu Kenani Kihongosi amesema chama cha Mapinduzi kinaamdaa viongozi wake na hakiokotezi viongozi
CCM HAIGAWI VYEO BALI INAPELEKA MAENDELEO KWA WANANCHI-KIHONGOSI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Itikadi,Uenezi na Mafunzo ndugu Kenani Kihongosi amesisitiza kuwa Chama hicho hakigawi vyeo bali kimejikita kufanya kazi ya kupeleka maendeleo kwa wananchi.
KITUO CHA AFYA UMWE RUFIJI KULETA AHUENI KWA WANANCHI-KIHONGOSI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani ndugu Kihongosi, amesema ameridhishwa na utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Umwe wilayani Rufiji
SHILINGI BILIONI 17.8 KUKAMILISHA UJENZI WA DARAJA LA MHORO RUFIJI
Ujenzi wa daraja la Mhoro wilayani Rufiji, mkoani Pwani, unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 17.8, unatarajiwa kuboresha usafiri na mawasiliano, kuimarisha shughuli za kiuchumi
SHILINGI BILIONI 17.8 KUKAMILISHA UJENZI WA DARAJA LA MHORO RUFIJI
Ujenzi wa daraja la Mhoro wilayani Rufiji, mkoani Pwani, unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni 17.8, unatarajiwa kuboresha usafiri na mawasiliano, kuimarisha shughuli za kiuchumi na kupunguza hatari
KIHONGOSI AKOSHWA NA MRADI WA KITEGA UCHUMI RUFIJI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, ndugu Kenani Kihongosi, amesema ujenzi wa mradi wa kitega uchumi wa CCM Wilayani rufiji
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) itikadi,uenezi na mafunzo ndugu Kenani Kihongosi amewasili Wilaya ya Rufiji Mkoani Pwani tayari kwa kuanza zuara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa miradi ya maendeleo
Mapokezi ya Ndugu KENANI KIHONGOSI katibu wa NEC-itikadi, Uenezi na mafunzo CCM katika ofisi za Wilaya za CCM halmashauri ya mji Rufiji mkoani Pwani tarehe 17.10.2026 Kuanza Ziara yake siku mbili ya kukagua uhai wa chama na kukagua miradi ya utekelezaji wa maendeleo
Hodi Pwani. Je ungependa Ndugu Kenani Laban Kihongosi Katibu wa NEC-itikadi, Uenezi, na Mafunzo CCM akimaliza Mkoa wa Pwani afuate mkoa gani ? Karibu kwenye comments……..
WANACCM WA ARUSHA NA SIMIYU WATOA USHUHUDA WA KUGUSA KUHUSU MAFUNZO YA UJENZI WA CHAMA
ARUSHA NA SIMIYU: Mafunzo ya Ujenzi wa Chama na Maandalizi ya Makada yanayoendelea katika maeneo mbalimbali nchini yameendelea kuibua hamasa kubwa miongoni mwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi
Leo tunapoadhimisha Kumbukizi ya Miaka 27 tangu Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tunajivunia urithi wa tunu za Taifa: amani, umoja na mshikamano alizozijenga na kuturithisha.
Ni wajibu wetu sote kuendelea kutunza, kuenzi, kuishi na kurithisha misingi hiyo kwa vizazi vijavyo kwani ndio nguzo muhimu katika kujenga na kuchochea maendeleo ya Taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
TANGA
Mafunzo ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yanaendelea nchi nzima. Kwa Mkoa wa Tanga Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Maandalizi ya Makada Mwl. Yusuph Ally Rajab amejionea hamasa na muitikio mkubwa wa makada wa mkoa huo alipotembelea kata mbalimbali zilizopo mkoa wa Tanga
TANGA
Mafunzo ya makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) yanaendelea nchi nzima. Kwa Mkoa wa Tanga Mkuu wa Kitengo cha Mafunzo na Maandalizi ya Makada Mwl. Yusuph Ally Rajab amejionea hamasa na muitikio mkubwa wa makada wa mkoa huo alipotembelea kata mbalimbali zilizopo mkoa wa Tanga
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya wananchi wenzetu 32 vilivyotokana na ajali mbili za barabarani zilizotokea mkoani Morogoro tarehe 8 Oktoba 2026. Ajali ya kwanza ya magari matatu, likiwemo gari la Jeshi la Polisi, ambayo imesababisha vifo vya watu wanne. Ajali ya pili ya lori kugongana na basi la abiria katika Kijiji cha Mkambarani na kusababisha moto uliopelekea vifo vya watu 28.
Ninatoa pole kwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Mheshimiwa Queen Sendiga, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, familia za wote waliofariki na Watanzania wote kwa ujumla. Ninamwomba Mwenyezi Mungu awape wafiwa faraja, nguvu na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu, na awajalie uponyaji wa haraka wote waliojeruhiwa.
Ninarejea wito wangu kwa madereva wote kutambua kuwa wanapokuwa barabarani wanabeba dhamana ya usalama wa abiria na watumiaji wengine wa barabara. Hivyo, ni muhimu kuzingatia sheria na kanuni za usalama barabarani na kuhakikisha kuwa vyombo vya moto wanavyovitumia viko katika hali nzuri na salama wakati wote.
Ninakupongeza kwa dhati mwanangu, Jihan Dimack, kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania na kutwaa taji la Miss Grand International 2026.
Ushindi huu ni fahari kwa Taifa letu na kielelezo cha uwezo wa Watanzania kufikia mafanikio makubwa tunapoungana na kushirikiana. Pia, ni chachu kwa vijana, hususan wasichana, kujiamini, kuthubutu na kusimamia ndoto na vipaji vyao.
Hongera sana. Ninakutakia kila la kheri.