@BongeLaAfya Hapo kwenye referal sio lazima iwe kutoka hospitali ya ngazi ya chini kwenda ngazi ya juu,
Iko pia horizontal referal hasa pale mteja anapokwenda kupata huduma fulan ambayo huenda haipatikan kwenye kituo A na inapatikana kituo B na vituo hivi viko Level 1.
@bonifacejoseph_ Ni usimamizi wa sheria tu hauko serious. Mbona kwa kagame hapa tu boda boda wanatii sheria bila shuruti, wao wamewezaje?… ukipita mtaani hutaona boda kabeba mshikaki, hutaona boda anapita kwenye red lights, na lazima kila boda iwe na helmet mbili, na abiria ni lazima helmet
@ZakayoMmbaga Hizo bana huwa wanafanya wale wa alternative medicine. Huwa wanamashine yao hiyo mtu anakwenda anaishika mahali halafu inamfanyia scanning. Kisha anapewa report na kuanzishiwa dawa. Imekaa ki scam scam. Maana wengi wao huwa wanakuja huku kwenye modern medicine kwa kuchelewa.