People are like, โFanikiwa waliokukataa waone!โ No, bana ๐๐คฃ Fanikiwa tu uishi maisha ya ndoto zako. Huyo ex, ndugu au rafiki aliyekukataa, ukute naye anafanikiwa zake. The real flex is living the life you once prayed for without needing an audience of people who rejected you. ๐ฅ
Kinachoendelea Ufaransa sasa hivi ni vichekesho sana. Utoke kwenu huko uende kwenye inchi za watu na kuanza kulazimisha tamaduni na sheria zenu zitambulike kwenye inchi yao.
Huwezi fanya huo upuuzi china ndio maana Japan wamewakataza hakuna kuzikana kwenye Aridhi yao, ukifa mwili unapigwa moto au urudi kwenu wakakuzike.
#DADAZ | Hapa ndiyo Lugha zimezaliwa kutana na kijana wa Isaya kutokea Temeke - Chang'ombe, Dar es Salaam mwenye uwezo wa kuzungumza lugha zaidi ya mbili.
#EasAfricaTv | #DADAZ
Una mawazo ya kimasikini sana. Unatakiwa kuchelewa kupata Mtoto ili miradi uliyoianzisha, aje aiendeleze akiwa na damu changa. Wengi mnaokimbilia kuzaa mkiwa wadogo, mna ndoto za kuja kusaidiwa na hao Watoto, badala ninyi ndio muwaandalie mazingira mazuri.