Waswahili hugoteana "Sabalkheri!" si tutawagotea na "Goodmorning!" Si mnajua venye kulienda jana Sudan? Raiya ziling'atua Bashir kutoka mamlakani after kuwatawala kwa kitu 30 years wazeiyah! So juu ya hiyo story... https://t.co/XJmJ4Ohgsj
Kenyan Mc's who have kept ALIVE the components of rap i.e "content" , "flow" , and "delivery" .Name a few. your BEST Kenyan hiphop show is on Air. where are you listening KBC English Service from?
Monaja hapa anakwambia "Hakuna aibu kwa kuweka bidii au kwa kung'ang'ana, Pesa lazima zisakwe kwa hivyo maringo wee eka far, wacha waseme mchana juu baadaye utawacheka ha! " https://t.co/yc5eI8MLJH
The type of Collaborations we Envisage in this time of East African hip hop reinnasance....
Beat:Brain/Ambi
Vocals:Brain.Kiroboto.LordEazzy.vigetti.
Yaani 'MCHEZO UMEKWISHA' Remix...
If Kenya had a Hip Hop songwriters hall of fame ..which Hip hop artist(s) do you think would be inducted given his/her true impact to the game...Meanwhile Da Underground is On air KBC English Service Where Are you listening from ?...
Baada ya kurusha kipande cha 'bars' iliofanywa na Bwajah na Patoh, wengi wenu mliwasiliana na kutaka tuchapishe Kazi nzima. 'Bars' yabadilishwa kidogo kisha ijumulishwe kwenye albamu ya 'Ukombozi'. You #DaUndergroundKe#Hiphop https://t.co/5LKQ3EqLu5