Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015 inaeleza kuwa mtu atakayetenda kosa la unyanyasaji kupitia mtandao atawajibika iwapo atatiwa hatiani: kulipa faini isiyopungua shilingi milioni tano au kutumikia kifungo kwa kipindi
#SambazaMchongoNaSioUongo
@tcra_tanzania
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inatukumbusha kutumia mitandao ya kijamii vizuri kwa kusambaza Michongo na Sio Uongo.
@tcra_tanzania
#SambazaMchongoNaSioUongo
Unajifanya babu kubwa eti kisa una ndinga
Biashara yako ya dukani unacheka wamachinga
Unyenyekevu na busara kumbuka si ujinga
Ishi na watu vizuri uzikwe kama maginga
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inatukumbusha Kutumia Mitandao ya Kijamii Kusambaza Michongo na sio Uongo.
@tcra_tanzania
##SambazaMchongoNaSioUongo