Siet!
Huyu akiweza niitikia naaanza wapi sasa aki.
Mtoto utadhani alizaliwa jikoni,juu vile ameiva
Mtoto utadhani ako court,juu vile ako fine
Mtoto utadhani anafanya safaricom,juu vile anani bamba
Mtoto utadhani anaishi Facebook headquarters,juu vile na Meta Meta
Mtoto utadhani anakojoa fanta,manake ile figure yake ni ya chupa ya soda
Sijui nikuite DCI,juu vile umeniteka. Ama nikuite kiti juu vile unakaa poa
Dont reply Eve. I am unworthy