Mara zote huwa tunapunguza watu kwenye circle zetu,Sasa ukiona wanapungua wenyewe bila wewe kuwapunguza basi ujue kuna shida upande wako,REKEBISHA!βπΎ
Siku hizi watu wanachanga zaidi kwenye sherehe kuliko matatizo,Kama una tatizo, ni bora uunde sherehe, wakishachanga tumia hizo fedha kutatua tatizo lako,kisha tulia. π
Nimeona post kwenye page ya kaka yangu SIMON PATRICK,inayohusu βCAF kutafuta wimbo wa PAMOJA AFCONβ! Watu wafanye watume kwenye email, naheshimu na siyo vibaya.
Ila mfano wasanii elfu 10 kutoka Kenya,UG na TZ,Wametuma nyimbo,Je zitasikilizwa zote?
Wazo: watafutwe wasanii waue.
Hakuna mwanaume aliyekamilika anayemblock mwanaume mwenzake!!.
Mwanaume - Kuna manzi kaniblock β
Mwanamke- Kuna Kaka kaniblock β
Mwanaume - Kuna mwanangu kaniblock β
Mwanamke - Kuna shost yangu kaniblock β
So KE kwa KE β
KE kwa ME β
ME kwa ME β
ME kwa KE β
Nimegundua ukiwa mpole sana,Nidhamu ikizidi kiwango,Ukiwa siyo muongeaji,wanakuchukulia poa sana,Kuna wakati unaweza kuwa kwenye kundi la watu wanaokuheshimu sana ila wao wakaheshimika zaidi na wewe ukadharaulika na yule anaowaheshimu wanaokuheshimu,
Ahsante MUNGU kwa kila kituππ½
Kuna wakati lazima tujue tunachokiwakilisha,ukivaa jezi ya πΉπΏ,wewe si Simba,si Yanga,wewe ni Tanzania πΉπΏ,kama mmeungana kwa ajili ya Taifa basi tofauti zenu zibaki nje ya uwanja,Uzalendo haupimwi kwa nani anaonekana zaidi,bali kwa kiasi gani upo tayari kujitoa kwa Taifa πΉπΏππ½.
Always netx time πΉπΏπͺπΎ,Hii ni timu yetu na hatuwezi kuikwepa kwa namna yoyote,
Najivunia sana mabadiliko ya timu yetu ya Taifa,Kwa jicho la kishabiki huwezi kuona kwasababu shabiki anataka ushindi pekee,Ila timu yetu kwa sasa ni noma,Pamoja na kupoteza,
Tutaπ Pa 1 na tutaπ Pa 1.
Leo kulikuwa na Taifa Stars Mashabiki day,pale Gymkhana ,
Hii nimependa sana na iendelee hivi hivi,
Ila kuna jambo limeibuka sa sijui kweli? Nataka nianze kufuatilia kuanzia sahivi hapa,Eti watu wanasema interview zote za kiingereza zinakuwaga fupi,Hata za leo,Ni kweli?ππππΎππΎ..
Kuanzia Kesho tutaanza mizunguko ya faraja kwa MTOTO WA MTAA,Tutapiga nao story na Misosi pia,
Bora ya kesho inaweza kumchagua yeyote yule,Iwe wa mtaani au wa nyumbani.
#OkoaMtotoWaMtaa
Tunaishi kwenye vita kubwa ya kuyafikia malengo yetu,Wapo ambao wanakesha wakiomba na wapo ambao wanakesha wakiroga,Na hao wote tunafanana malengo.
Ukitumia mwanga wa Mungu kufikia malengo ,Amani hutawala ,Na ukitumia giza la shetani kufikia malengo,Machafuko hutawana,
MUNGU β .
JUMA NATURE,Ndo msanii pekee DUNIANI anayeweza kupiga show ya Masaa hata matatu kwa kutumia CHORUS tuβ¦! RESPECT kwako LEGEND ,Sir Kassim Kiroboto,Msitu wa vinaβ¦!
Niliwahi kusema hili na nitaendelea,Kuna ubaguzi mkubwa sana wa kimichezo nchini kwetu,Kuanzia kwa waandishi mpaka mashabiki,Mtu mpaka atoke damu,Ndo tunaamini anapania Taifa,Mtu au Timu yoyote ikishakuwa na bendera ya Nchi basi tusupport kwa usawa,Twiga stars mmeikalia kimyaaa.
Kitu ambacho wachambuzi hamjakisema kuhusu miaka 30 ya Bongoflava ni βUniqueness ya wasanii ambayo imepelekea show kutochosha,Kila mtu na kitu chake,Beats,Ideas,OyaaaππΎπ₯,
Ombi langu wakuu msitusahau tu Ruvuma ,tena iwe uwanja wa Maji maji pale,Mkoa pekee wenye mzuka na burudani.
Hivi mnadhani mnatuudhi na maneno yenu??πππ, Spain na Argentina ni timu zetu,So leo ilikuwa yeyote atakayebeba ni sawa tu,Nashangaa mashabiki wa penado leo wanashabikia Spain aaaaaaah jaman tangu lini??? Bakini na matimu yenu mabovuβ¦!
Si tuna enyoy tu leo.
Ni mwaka wa 5 sasa tangu niwe na mawazo ya kurudiana na X wangu wa GIETA,na leo rasmi tumerudiana na tumeaza mipango ya ndoa ,Sitaki kuchelewa tena,So mashemeji zangu wa GEITA nakuja huko soonβ¦!ππ½ππ½π.
Hivi si kuna wabobezi wa sayansi? si kuna wasomi wanaogundua mambo mbalimbali? Kwani haiwezekani kumfanyia upasuaji MESSI awekewe vitu vya kijana mwenye umri mdogo ili tuendelee kumuangalia???
Hichi kiumbe ni cha ajabu sana,Najivunia kumshuhudia..!
REAL GOAT π- MESSI.