#TajiriLaKihaya
Wana Arsenal tuliopo hapa AMELL…
Naomba tuwe na kikao cha dakika 10…
Tuchague Kamati ya Kusimamia Maandalizi ya PARADE la Ubingwa wa UEFA…
@EsirEid Mlioko juu nadhani hamjui hussle za sisi wa chin.Hivi unajua depression anayopitia kijana graduate wa chuo asiye na ajira aliyedhaniwa kua mkombozi wa familia na hana kazi?
Acheni vijana tujaribu kamari ikiwa yetu fresh nikiwanufaisha wengine fresh sio hao wanaojinufaisha wenyewe
@fintanjr_ Linapokuja Swala La Ndoa PAST Vs FUTURE
PAST Ya Mwanamke Ndio Kila Kitu Na FUTURE Ya Mwanaume Ndio Kila Kitu
Bahati Mbaya
Wanaume Hawana Muda Na Past Za Wanawake Wakishaoa Ndio Wanaanza Kuzitafuta
Lakini
Wanawake Wako Makini Na FUTURE Ya Mwanaume Kama Huna Future Hutompata