@Jambotv_ @katjakeul on you and your country's intentions to easy our pain, I propose a reparations plan as you did with world wars and Jews community. An on going discussion forum between Tanzanian and German youths on this topic. Rewriting intentionally forged history. Sharing archives.
@fatma_karume Kutokana na ripoti za ubaguzi na uonevu guy kuendelea, watu wa hapa tumepanga kufanya mechi ya mpira wa miguu mbele ya fukwe pale Ndame. Tutakua na mabango yetu ya kupinga unyanyasaji huo na nyimbo na waandishi wa habari. Tungependa kukuarika wewe na watu wako. Tarehe in-box.
@fatma_karume Kuhusu tukio hilo husika sifahamu vizuri chanzo.
Mimi ninaishi Paje mbele kidogo ya kwa Ali Kwacha, ninapajua Ndame kabla ya wawekezaji wapya na kabla. Hivi karibuni kumekua na ripoti nyingi za walinzi wa Ndame kunyanyasa na hata kufikia kuwapiga wazawa ndani na ufukweni.