Home
Language
English
Türkçe
Bahasa Indonesia
About
Privacy Policy
Terms of Service
Pricing
Sign In
Download All
Share
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
Fans of @ManUtd and @SimbaScTanzania
#StaySafe
#TagFriends
Dar es Salaam
Joined October 2019
1.8K
Following
19.8K
Followers
12.5K
Posts
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
6 days ago
Kosa vyote lakini hakikisha una muonekano wa kitajiri😂🫴
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
11 days ago
Simu yangu haiamini kama nimepata mtu natype "honey" inaleta "hungry"😂
imu_carlito
retweeted
J.MANIE 💫
@komanie5
14 days ago
Unaambia mtu feel at home alaf anaanza kuua kunguni zako😂😂
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
15 days ago
Kitambo nilikuwa nadhani watu wanene ni matajiri😂😂
Who to follow
COMMENT
@wakuachwaa
𝓚𝓲𝓬𝓱𝓸𝓶𝓲 𝓜𝓪𝓷𝓭𝓪𝓵𝓪
@Kichomi11
Just Do It | Chelsea | Yanga | 🎮
Shedrack
@Shedrack_KE
Debugging code, @Arsenal fan, Clearing & Forwarding expert.
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
18 days ago
Mtu alipelekwa boarding school since primary ndo unadhani asipokuona atakumiss😂🤣
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
19 days ago
Mama fua fua nenda kamfulie tena this weekend😂
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
19 days ago
Mwanamke akikupenda Gubu huwa ni ishara tosha ya Upendo🤌😂
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
26 days ago
Hiyo time unawaste kuomba msamaha ungekuwa ushapata mwingine😂🤣
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 1 month ago
Vitu kama skin care wasichana wa mjini mmeweza sana, Shida iko kwenye Matumbo😂🤣🙌
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 1 month ago
Alafu kuna hii njaa ya usiku huwa haikubali maji wala maombi😂🙌
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 1 month ago
Saa hii ukiniuliza naendeleaje napack nahamia kwako ufatilie maendeleo yangu kwa ukaribu🫴😂
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 1 month ago
Hawa ndio Marafiki walio shibana 😂🤣🤣🙌 .
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 2 months ago
Matonya aliimba "nasukuma sukuma ili siku ziende'" mlikuwa mnajua anaropoka si ndio 😁
imu_carlito
retweeted
Fanatic
@Vickthefan
about 2 months ago
Unadhani mtu Ni mpole Na innocent vile amenyamaza kumbe gaidi inafikiria ngwati😂
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 2 months ago
Unawapuuzia wengine kwaajili yake na yeye anakupuuzia wewe kwaajili ya wengine😂🤣
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 2 months ago
Afadhali niamini gari lisilo na breki kuliko eti " yule ni rafiki yangu tu"😂💔🚮
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 2 months ago
@EsirEid
Kombe liko wapi
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 2 months ago
Usiseme naringa sema tu unataka kunizoea na mimi sizoeleki😂🙌
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 2 months ago
Watu wanavyo shukuru Mtandaoni unaweza ukahisi wewe umelaaniwa🙌😁
Seaman⚓🇹🇿
@imu_carlito
about 2 months ago
Kuambia wengine wa-move on ni rahisi, ngoja sasa ifike zamu yako😂😂💔
Last Seen Users on Sotwe
ZENCİPOWER
Seen from
Germany
foto paylasimi
Seen from
Turkey
كوكتيل 🍸
Seen from
United Arab Emirates
slim flurton ❄️
Seen from
United States
Redgifs
🎥 افــلام عـربـيــة 🎥
Nass_6996
Seen from
Thailand
Yalın ayak
Seen from
Turkey
Bay_heyecan_23
Seen from
Turkey
.
Seen from
Jordan
Trends for you
1
Ben Rice
Under 10K tweets
2
Phee
Under 10K tweets
3
Fernando Cruz
Under 10K tweets
4
Olandria
Under 10K tweets
5
#DirtyWater
Under 10K tweets
6
Baty
Under 10K tweets
7
Salvy
Under 10K tweets
8
Clayface
Under 10K tweets
9
Google Cloud
Under 10K tweets
10
$GOOG
Under 10K tweets
Most Popular Users
1
Elon Musk
@elonmusk
241M followers
2
Barack Obama
@barackobama
119.2M followers
3
Cristiano Ronaldo
@cristiano
111.9M followers
4
Donald J. Trump
@realdonaldtrump
111.8M followers
5
Narendra Modi
@narendramodi
107M followers
6
Rihanna
@rihanna
98M followers
7
NASA
@nasa
92.2M followers
8
Justin Bieber
@justinbieber
91.2M followers
9
KATY PERRY
@katyperry
88.4M followers
10
Taylor Swift
@taylorswift13
82.3M followers
11
Lady Gaga
@ladygaga
73.8M followers
12
Virat Kohli
@imvkohli
71M followers
13
Kim Kardashian
@kimkardashian
70.1M followers
14
YouTube
@youtube
68.7M followers
15
Bill Gates
@billgates
64.3M followers
16
Neymar Jr
@neymarjr
63.9M followers
17
The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers
18
CNN
@cnn
61.8M followers
19
Selena Gomez
@selenagomez
61.5M followers
20
X
@x
60.8M followers
Olivia
Online
✨
⭐
💫