Unyama how chapo? Niliwahi kuandika hii siku za nyuma….results Hizi diss track au haya malumbano ya nani mkali, nani kaua….kati yetu sisi kwa sisi…..results zake zimewezaje kukuza biashara yetu hii? Zaidi ya kulitumia hilo neno GAME INACHANGAMKA….Then ikichangamka?🤷♂️
Hakuna shows za kutosha, digital kazi hazitengenezi pesa za kutosha, kwenye endorsement ndo kabisa hadi madogo wa comedy industry now wametupiga bao!!
Sisi daily tunabaki kusema game inachangamka mwaka wa 10 huu inachangamka tu?🥹
Tutoke kwenye hiyo mindset na approach ya kuamini diss track na malumbano ya nani mkali ndio the only way ya kuifanya rap/hiphop game ilete matunda kwetu!!
Tuje na approach nyingine ambayo itatupeleka mbele wote kwa pamoja…tukiwa wengi matunda yatakuwa mengi