@xlusako Sema watu hawajaelewa sio mkoa Kwa mkoa yan unakuta unakaribishwa vizuri karibu Dodoma hapo upo kibaigwa Sasa kasheshe inakuja kuiona hiyo Dodoma yenyewe au unakaribishwa singida na ndio upo manyoni oya utatembea Hadi ujisahau kuwa ushamaliza kumbe hata mjini hujafika