@pastorzacq @Twaha_Mwaipaya Mungu hayuko hvyo, Mungu wetu amejaa neema na rehema, huwanyeshea mvua waovu na wema, toba ianze kwako ndipo iende na kwa wengine maana wote tumepotea na tumepungukiwa na wokovu
@GastoIX @geraldbosco_ @emmanuelmussa_ @fumbokhanJr@kalage_jr@yus_james Watz tatzo uwezo wakufikiri mdogo sana, ndo maana yanakurupuka tu bila kujua kuwa hakuna tofaut yamuda hapo
@Amani20251@TitoKorduni@MariaSTsehai Wee kiboko, tangia lin usharika ukatoa likizo? Likizo inatolewa na ofisi kuu ya dayosisi kwakujaza fom maalum ya likizo au wakiamua wao kulingana na hali ilivyo ( kupotoka kimaadili au vinginevyo)