Coincidence ni mbaya walai!
Nakumbuka nikiwa mtoi niliiba 50 bob kwa jirani, kufika kwetu nikapata kuna 50 bob ilipotea pia.Yule ameiba ya kwetu ameficha;yangu nikonayo kwa mfuko, ilibidi niongee tu ukweli " Nikweli nimeiba lakini kuongea ukweli si hapa, hii ni jasho mathe"๐ ๐ข