IN THE EYES OF GACHAGUA
Former DP wants housing levy dropped
Calls for a review in petroleum pricing
Kenya Kwanza lawmakers hit back
Ichung'wah says former DP is an attention seeker
#PrimeEdition@TomMboya24@MuchumaOdim
MIZANI YA HAKI
Waathiriwa 35 wa visa vya kutoweka kwa watu kufidiwa Shilingi Milioni 105
Jaji asema kubaguliwa kwa watu hao ni ukiukaji katiba
Kesi inayohusisha benki-3 kutajwa kesho
Salim Busaidy adaiwa kuiba Sh 363,420,459 kutoka First Assurance Investment
Margaret Wairimu ashtakiwa kwa madai ya kutoa taarifa za uongo kuhusu kifo cha mwanaye
#Darubini
@nancyokware@BenKChumba
CHANGAMOTO ZA UGATUZI
Kaunti ya Kitui yakiri kushindwa kulipa deni la shilingi milioni 155
Fedha zilitolewa kama mikopo kwa makundi mwaka 2022
Gavana Malombe: Ni shilingi Milioni 5 pekee zimerejeshwa
#Darubini@nancyokware@BenKChumba
CHECHE ZA GACHAGUA
Gachagua aitaka serikali kufanya mageuzi ya kiuchumi
Gachagua ataka ushuru wa nyumba na mafuta usitishwe
Anasema mzigo wa uchumi umewalemea Wakenya
Maoni ya Gachagua yakosolewa vikali na Kenya Kwanza
Wabunge wasema uchumi wa Kenya umekua kwa asilimia 5
#Darubini
@nancyokware@BenKChumba
PENZI HATARI
Familia Kiambu yalilia haki ya binti wao aliyeuawa
Mary Mwende anadaiwa kuuawa na mpenziwe Dennis Nyambane
Nyambane alikuwa daktari katika hospitali ya Kiambu
Yadaiwa mauaji yalitokana na ugomvi wa kinyumbani
#Darubini@nancyokware@BenKChumba
Broad-based MPs led by National Assembly Majority Leader Kimani Ichungโwah have dismissed claims by former DP Rigathi Gachagua, accusing him of seeking attention through propaganda.
#KBCniYetu ^KG
PRODUCT COMPLIANCE
โKEBS reassures consumers, trade partners and the public that the five alcoholic beverage brands recently suspended by the Rwanda FDA have undergone rigorous conformity assessment, market surveillance, factory inspection and laboratory testing by KEBS,โ ~ Kenya Bureau of Standards
#KBCniYetu ^KG
MEETING SAFETY STANDARDS
โThe products (suspended in Rwanda) were found to comply with the applicable Kenyan and East African Standards.โ
~ Kenya Bureau of Standards
#KBCniYetu ^KG
HUMAN RIGHTS COMPENSATION PANEL
Government directed to set aside KSh105M from Compensation Fund for victims of enforced disappearances, torture and abductions pending court determination.
#KBCniYetu ^KG
HUMAN RIGHTS COMPENSATION PANEL
Government directed to set aside KSh105M from Compensation Fund for victims of enforced disappearances, torture and abductions pending court determination.
#KBCniYetu ^KG
DEFENDING KENYAN BRANDS
KEBS says five Kenyan alcoholic brands suspended in Rwanda comply with Kenyan and East African standards, following fresh inspections and laboratory tests conducted in August.
#KBCniYetu ^KG