kungekua na darasa la kuwafundisha watu wasome kozi gani chuo pindi tu wanapomaliza mitihan ya form 6 mana wengi wao wanapata tu maoni ya washkaj zao na ndugu tu ama la kupenda uzuri wa mina la kozi - best wishes to all form 6
MWAKA HUU MMEWEZA KUNITIA NGUVU YA KUFANYA MAKUBWA ZAIDI Vanessa Mdee MwanaFA NICE PRODUCTS napenda kuona Tz inakua na product zake hasa na pia tukijitahidi kuanzia uzalishaji @ Zanzibar, Tanzania — in Zanzibar, Tanzania https://t.co/Sjy0PE03Ic
Kwa mahitaji ya MABANGO AINA YEYOTE tuchek kupitia 0712845330 au follow @dokadecoration @dokadecoration @dokadecoration uone tunavyotenda MAAJABU 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Swipe LEFTTO SEE AFTER OUR EFFECTS Hyo ni kaz ya @dokadecoration @dokadecoration @dokadecoration SIO LAZIMA UWE NA CONTAINER PIA contact us 0712845330 @ Oyster Bay, Dar Es Salaam, Tanzania