@taifahuru98 Ni dawa wanavyosema umasaini ukienda ndio wanakula kwa ajili ya tumbo kuuma kutoa sumu ila wakija uku bongo wanakuambia inaongeza nguvu za kiume ๐คฃ๐คฃ๐คฃ afu hyoo ni mizizi ya mngorotiki matumizi yake ndio hayo sio kuongeza nguvu za kiume ni usanii mtupu