Usalama wa Uwekezaji, Mtu anawekeza Trilions of Money alafu kiongozi akija kubadilika anaweza kubinafsisha Miradi, Sactions pia za Serikali kimataifa.. Huyo ni mfanyabiashara, hataki hasara.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, amesema atafuatilia kujua sababu za kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kutojengwa mkoani Tanga nchini Tanzania.
Mradi huo wenye thamani ya TZS trilioni 40 umezinduliwa leo katika Kaunti ya Lamu nchini Kenya, na utakuwa ukisambaza bidhaa za mafuta zilizochakatwa kwa Kenya na nchi nyingine za Afrika.
@swahilitimes Usalama wa Uwekezaji, Mtu anawekeza Trilions of Money alafu kiongozi akija kubadilika anaweza kubinafsisha Miradi, Sactions pia za Serikali kimataifa.. Huyo ni mfanyabiashara, hataki hasara.