@Jambotv_ Huyu nae amerogwa na nani tena!?? Anahitaji ushahid gan na ni mwanasheria anajua nini kimefanyika kwny Sheria za uchaguzi au anadhan anaongea na Watz wajinga kiasi gani!!!
@IAMartin_ Huyu nae hajion hata kwenye kioo!!!!? MBOWE hatakiwi hata kwa dawa, hata mkilazimisha mapenz hayanaog, Kwan Lissy si bado NI mwanachama wenu au? Kwanini msimwamini nae alete mabadiliki kwenye mazoea yenu yaliyokwamisha kupata Dola kwa miaka zaid ya 30 sasa!!
@IAMartin_ YANI HAWA TEAM MBOWE NJAA NJAA HAWA, INAONEKAN WANAKAJEURI CHA UHAKIKA HIVI!!!!!!! KMWB WANAUWEZO WA KUMWEKA MBOWE MADARAKAN TENA KWA GOLI LA MKONO. UKIANGALAIA UCHANGIAJ WAO WA VITISHO NA WANA UHAKIKA NA WANACHOKISEMA HAIJALISHI NGUVU YA UMA INATAKA NINI!!!
@Sativa255 Huku unagusa eneo nyeti, nadhani ungefikiria vizuri kabla ya kupost, ninj malengo yako na unatak kushunda a na nan!!? Mungu hadhihakiwi, fanya yote tuko nyuma yako lakini kugusa watumushi wa kiroho huwezi jua.
@Jambotv_ Kwa hil Makonda angenyamaza ili alinde heshima yake, najua ana mashabik mpaka nje ya chama dola lkn akianza hzo porojo atazaraulika Sana. Kaa kmy tu, kuna kesho pia
@ze_mandevu Mbona Una hasira Sana!??? Alikuulia nani yako? Mpeni maua yake, Makonda Hana mpinzani kwenye eneo la uzalendo, uwajibikaji na ufanisi wa kazi anazopewa. Ni suala la muda tu, Rais ajae huyo. Mm sio mwana CCM lakini kwa jinsi anavigusa hisia za watu wake anapata uhalali
@ze_mandevu#Sio kwamba anafanya vzr kuliko wenzie HAPANA. Makonda anapenda kufanyakaz nyuma yake kumejaa macamera kibao stlye ileile ya JIWE,,Huyu mnakuza bure ila niwaambie #Jinai huwa haifi hata ipite miaka mingapi,,Ipo siku ataendanyea debe bado mwaka 1