Ukurasa Rasmi wa Kituo cha Redio cha KingsFM 👂Tusilikize kupitia 89.5 kwa nyanda za juu kusini ☢️Tusikilize popote duniani kwa Application ya TuneIn&RadioBox
Amekaa Gerezani kwa Miaka 4 akiwa ni Mahabusu Kutokana na Tuhuma za Mauaji ya Kada wa CCM. Sasa Yupo huru anaendelea na maisha ya kila siku, Jina lake anaitwa George Sanga. Jioni ya leo utakipitia kitabu chake, hivyo itakapofika 10: Jioni kaa karibu na kurasa mitandao yetu
#NJOMBE: Watu wasio julikana wamesambaza barua za vitisho ofisi mbalimbali katika kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa, mkoani Njombe usiku wa kuamkia Disemba 03, 2024.
Barua hizo zimeelekezwa ofisi ya Mwenyekiti aliyeapa siku chache zilizopita baada ya uchaguzi wa Novemba 27, 2024.
msipo kaza na nyie mkilegeza tutawaweka kwenye kundi moja la wale wajinga tulio waandika Barua.
Kings Fm (@kingsfmradio) imezungumza na Mwenyekiti wa Kijiji cha Ngelenge Joseph Mapunda (CCM) kata ya Ruhuhu ambae ndiye alitangazwa mshindi katika uchaguzi uliopita amethibitisha
Wafalme Jumatatu ya leo tuna kazi yako.
Kikubwa endelea kusikiliza Kings Fm Radio kwenye 89.5MHz, kupitia Tune In na Radio Box kwa kuandika Kings FM Radio.
Usisahau pia kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamii Instagram, Facebook, X, Threads na Tik Tok kwa jina la @kingsfmradio
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini @DeoMwanyika Oktoba 19, 2024 amejiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, Mwanyika amejiandikisha katika Mtaa wa Uwemba,Njombe
Umewahi kufikiria kinywaji cha Ulanzi siku moja kitachakatwa na kuwa Mvinyo kwa kimombo Wine?
Theodorith Mlowe mkazi wa Njombe ya hilo liwezekane kwa kuaanzisha na #utamaduni#njombe
https://t.co/IA6bA3xna3