Arsenal yapigwa, Chelsea na Manchester United zaondolewa kwenye michuano ya UEFA, Masaibu ya AFC Leopards... Jiunge nasi kwa ajili ya #MikikiyaSpoti kuanzia saa kumi hadi saa moja jioni.
Kufuatia tukio la 'Mchungaji' Paul Mackenzie, umewahi kuwa mshirika wa kanisa ambayo kuna brainwashing? #MwashumbenaMkamburi#Radio47#HapaNdipo
@Mwashumbe01 @Chigomkamburi