Kuna vijana wanakuja kwa moto sana kibiashara, Huyu mwamba ni miongoni anakiwasha sana upande wa kahawa na mambo ya usafirishaji huko, Anasema yeye akiwa sehemu za bata hawezi kujipost hii nimeipenda sana unaamua zako kuwa lowkey afu unatengeneza status ya kuaminika kwa wadosi.
Usimtafsiri mtu kutokana na maneno ya watu, ishi nae kwanza ujionee, yote ni kwa sababu binadamu huishi maisha tofauti kulingana na watu tofauti β¦β¦β¦β¦
Kheri ya siku ya kuzaliwa. Asante kwa kujitolea na ushirikiano wako kwa vijana wenzio kwenye maisha na uongozi. Uongozi wako umetutia moyo na kutuongoza katika njia sahihi. Tunathamini sana mchango wako kwa maendeleo ya vijana na jamii yetu kwa ujumla. Endelea kuwa kiongozi bora!
Sio lazima kuwa jasiri ili uthubutu kitu chochote, natumaini utaweza kufanya hicho unachotaka kufanya hata kama itabidi ufanye ukiwa na hofu.
βYou do not have to be confident to be courageous, I hope you do it even if you have to do it scared.β
Sio lazima kuwa jasiri ili uthubutu kitu chochote, natumaini utaweza kufanya hicho unachotaka kufanya hata kama itabidi ufanye ukiwa na hofu.
βYou do not have to be confident to be courageous, I hope you do it even if you have to do it scared.β
On October 11, 2024, the Tanzania Coffee Board (TCB) delegation, led by Mr. Primus Kimaryo, Director General of TCB, visited ITOCHU Company in Tokyo and held a meeting with Mr. Shinji Ohta, General Manager, and Mr. Natsuki Okamoto, Deputy Manager of the Coffee Section. The meeting focused on the trade relations between Tanzania and Japan, specifically in the coffee industry.
ITOCHU, one of the largest Japanese trade companies, has a significant presence in the Tanzanian market, particularly in the trade of food-related products such as coffee, sesame, and spices. The discussions aimed to strengthen and expand this trade relationship for the mutual benefit of both countries.
@mfa_tanzania@WizaraKilimo@ViwandaBiashara
Day 2 in Japan. π―π΅, Today I was able to visit the IFAD Offices in Yokohama.
IFAD invests in rural people, particularly small-scale producers, empowers the most vulnerable to reduce poverty, increase food security, improve nutrition and strengthen resilience.
Kwa chochote mwanadamu anachofanya, kikafanikiwa, kikastawi na kuendelea, basi alisaidiwa, na kuungwa mkono. Hakujawahi kuwa na mafanikio ya mtu mmoja bila msaada wowote βkihisia, kisaikolojia, au kirasilimali. Shukrani mnaoendelea kuniunga mkono. Mzidishiwe.
Tupo kwenye Generation ambayo mafanikio yako huleta SINTOFAHAMU NA MASWALI kwenye jamii π€, lakini anguko lako HUSUBIRIWA na LITASHANGILIWA, KIKUBWA NI KUSALI SANA na KUCHAPA KAZI TUππΎ.
#jefenakilimo#shambalife#generationalwealth
Leo kama mdau wa Sekta ya Viwanda na Biashara, Nimeshiriki Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Biashara, Uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City Jijini Dar Es Salaam.
Mgeni rasmi alikuwa Mh Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.
God Did! β€οΈπͺπΎ,
After this tough year ππ, Finally I made it, A Degree for (BA), with honours in Business and Human Resource Management, University of Portsmouth, U.K.
Not by might, nor by power, but by His spirit. β€οΈ Forever Grateful ππΎ
Siku ya jana niliweza kuhudhuria Jubilei ya dhahabu ya miaka 50 ya Parokia ya Mtakatifu Karoli Lwanga - MABIRA, wilayani Kyerwa, Kagera. Ulikuwa ni wakati mzuri kuteta na kufurahi na Mhashamu Baba Askofu Almachius Rweyongeza pamoja na Mhashamu Baba Askofu Methodius Kilaini.