Tuna Tumia Akili Nyingi Na nguvu Nyingi Kunyanyanyua Mafanikio Yetu. Wengi Tunaishi maisha Tusio Yapenda Ila Tunabaki na Maumivu moyoni Ukizngatia Ata Faraja Nayo Imetutupa mkono.Changamoto na mwenendo wa maisha ni atari nyingine.Tunatazama kulia na kushoto Tunasonga.
Kua na mwanamke mmoja katika maisha yako;Hii itakupunguzia gharama za maisha na itakufanya ufocus.kudeal na wanawake zaidi ya mmoja kutakupotezea muda wako ambao ungefanya mambo productive na hilo utaligundua mpaka iwe too late.Badilika sasa punguza idadi yao,ongeza kipato chako.
@ExMayorUbungo Kaka @ExMayorUbongo umeongea vizuri kwasababu mpira Unaujua ila hawa wasiojua watapinga sana kauli yako kwasababu ya lile sinia tuwape tu mda ipo siku wataelewa