@Adventure_36 Kuna mtu ameunganisha umeme kutoka kwao
Inawezekana jirani au mtu mwingine amechomeka waya kwenye line ya nyumba hiyo bila kujua mwenye nyumba. Hii hutokea sana kwenye maeneo yenye nyumba karibu karibu. Wakati mwingine meter yenyewe inaweza kuwa na hitilafu.
@Adventure_36 Ilinikuta last week pale jangwani jamaa hawachukui rushwa ni moja kwa moja central na unalala mahabusu Kukikucha unalipa faini (50k)makosa matano hakuna maelezo unapewa chuma yako🙌🙌🙌