Viingilio rafiki kwa kila mtanganyika kushuhudia mchezo wetu wa kwanza wa 'nbcprimierleague' dhidi ya JKT Tanzania. ⚽️🦍
Tukate tiketi zetu mapema tar 18.9. 2025 tukaijaze lake Tanganyika mapema kabisa.
#mapigonamwendo#tishiojipya#mashujaawalaketanganyika#fahariyakigoma
Leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa Kwa 'Digital Manager' na Muundaji wa Maudhui wa klabu yetu
Tunakutakia kila lililo jema, Watanganyika tunajivunia sana Uhodari wako na Uchapakazi wako🦍💪🏻
rugegera
#mapigonamwendo#shujaahasalitichama#mashujaawalaketanganyika
Tunayo furaha kuwatangazia Watanganyika na wadau wa mpira nchini kwamba tumeingia makubaliano na kocha Salum Mayanga kuifundisha timu yetu.
Karibu sana shujaa Salum Mayanga kwenye himaya ya Watanganyika🦍💪🏻
#mapigonamwendo#mashujaawalaketanganyika#shujaahasalitichama