Mganda mmoja aliyekubali kuzungumza na wanahabari alishuhudia zoezi la usajili wa vitambulisho vya Kenya pamoja na kadi za wapigakura likiendelea katika shule inayojulikana kama Amanang, katika wilaya ya Bukwe nchini Uganda.
@Francisontomwa#KTNLeoWikendi
Afisa wa DCI aliyekamata vifaa vya usajili wa wapigakura vya IEBC vilivyokuwa katika gari lililokuwa likielekea Uganda alionywa vikali kujiondoa katika suala hilo, la sivyo angehamishwa ndani ya wiki moja. Kama ilivyotabiriwa, afisa huyo alihamishwa siku chache baadaye hadi makao makuu ya DCI, ambako anahudumu hadi sasa.
@Francisontomwa
#KTNLeoWikendi
Hatuskizani na Karen Nyamu lakini mahali anasupport wasichana we are with her- Eric Omondi to Nominated Senator at Natalie Githinji’s Endometriosis Warriors event at KICC.
Man Surrenders After Double Murder
A man in Mombasa County has surrendered at Nyali Police Station after allegedly killing his wife and daughter and injuring his son with a machete.
#NTVWeekendEdition@kevinmutai_@MichelleNgele_