Vitu Rahisi vinavyowezwa kufanya nakila mtu nipamoja na kurap.. na ndio sababu sijivunii et najua kurap,OnaSemaji la ball comedian wanajua KURAP,dadaangu wakaz home anajua KURAP,asilimia 99.9 duniani nimarapa๐so Biashara inayowezwa kufanywa na kila mtu haiwezi kua na FAIDA๐๐
Aliekuja na wazo la international break Mungu anamuona๐ซ
Sahii tungekua tunazunguka mitaa ya London,Manzese na kombe letu.. international break inakata stim
Mpaka tunafikia leo kuelekea kwenye international break Mchezaji Hatari ni VINI JR,kipa Bora DAVID RAYA,mshambuliaji hatari ni IGOR THIAGO,Mchezaji Bora kwa madogo wote MAX DOWMAN,Timu Mbovu ni MAN U,mbovu kabisa TOTTENHAM,Kocha Bora ni FABREGAS timu Bora ni ARSENAL (unabisha?)