Kama unatumia Tiktok kwenye biashara, basi kuna automation ambayo itakusaidia kufanya;-
Auto reply,Auto follow and unfollow,Auto DM nk vyote ni free
Huhitaji kulipia expensive AI kufanya automation
JUST: Retweet then comment Tiktok Automation halafu nitakutumia DM
@Millambo_ nakujg x kwa ajira ya kusoma post zako maana najifnz vitu ving sana
post zako fupi ila zinabeba jumbe ambaz ni Zaid ya kitabu cha page 300 ๐ฅ๐ฅ