A Global Farming and Marketing company based in Tanzania ๐น๐ฟ | we cultivate sustainable Agriculture for a healthier World ๐ WE FEED THE WORLD ๐ฅฆ๐
linapokuja suala la kusafirisha mazao yako, tunaweza kuchukua jukumu hili kwa uaminifu na ufanisi. Wasiliana nasi leo ili kuanza kufurahia huduma zetu za usafirishaji bora!
MazaoFarm international tunakuahidi kukupatia bidhaa na Huduma bora zaidi.
Sisi kama Mazao Farm international tunaamini katika kuilisha Dunia "We Feed the world" Na tunafanya hayo kupitia...
Ulimaji wa Mazao mbalimbali kama vile; Mahindi, Mchele, Dengu, Korosho, Choroko, Mbaazi n.k
Uuzaji wa bidhaa kama hizo na nyingine nyingi ndani na nje ya nchi.
Tumepokea tangazo la kifo cha Mzee wetu mpendwa Mhe. Ali Hassan Mwinyi, kwa masikitiko makubwa. Rais Mwinyi alituvusha katika kipindi kigumu kama Taifa. Daima tutamkumbuka. RIP.๐๏ธ