Mapema leo Korogwe nikiwaeleza wanaKorogwe na Tanga kwanini Dkt @MagufuliJP anastahili kupewa kura zote za NDIYO. Upanuzi wa Bandari ya Tanga, kapigania Ujenzi wa Bomba la Mafuta Uganda hadi Tanga, maboresho makubwa ktk Afya na Elimu.WanaTanga, Tumpeni Dkt Magufuli mitano mingine
"Asilimia 89 ya mikutano yote aliyoifanya @MagufuliJP ameifanya asubuhi, angefanya jioni kama wenzetu ingekuwaje na mikutano yote imekuwa inasheheni watu katika namna ambayo hatukuwa tunategemea, nidhamu ya hali ya juu"- @hpolepole#PolepolePress#OktobaTutawezana
📸 Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya #CCM Ndugu John Pombe Magufuli akihutubia na kuomba kura kwa Wananchi waliojitokeza katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Uwanja wa Mburahati(Barafu) Ubungo jijini Dar es salaam.
#ChaguaCCM#KuraKwaMagufuli2020#T2020JPM
@TZMsemajiMkuu Kaka,mngewapa walimu hata posho tu ya laki na nusu Kila katikati ya mwezi..mtakuwa mmetekeleza kwa vitendo mkuu TzMsemajiMkuu wa Serikali