#michuzitv_updates :-Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar, akiwa pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Homera, na viongozi wengine wa Serikali, ameshiriki ufunguzi wa Mikutano ya Mwaka ya Umoja wa Nchi...
π
https://t.co/PeKsA8q7TJ
#michuzitv_updates :-Tanzania na Rwanda zimekubaliana kushirikiana katika sekta ya sheria, ikihusisha utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala, uthibiti wa uhalifu unaovuka mipaka pamoja kuimarisha huduma za msaada wa kisheria kwa wananchi.
https://t.co/tIeIwSK81a
#michuzitv_updates:-Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amesema Serikali inaweka mkazo katika kukabiliana na utoro na wanafunzi kuacha shule, hususan wavulana, ili kuhakikisha mageuzi ya elimu yanafikia malengo ...@wizara_elimuTz
π
https://t.co/zvqpYocsiH
#michuzitv_updates :-
...YASEMA: TUNA MADINI, TUKO TAYARI KWA UWEKEZAJI
Tanzania imewaalika wawekezaji wa kimataifa kuchangamkia fursa katika Sekta ya Madini, ikieleza kuwa Serikali imeendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji, kuongeza utafiti...
π
https://t.co/aRsf44PeXg
#michuzitv_updates :-Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imefikisha umeme katika maeneo 582 ya wachimbaji wadogo, kilimo na viwanda Tanzania Bara, kupitia mradi wenye thamani ya Sh bilioni 115.
π
https://t.co/ZQ656RcPfw
#michuzitv_updates :-Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha bei za mafuta nchini zinakuwa himilivu na zinalinda maslahi ya wananchi, ikiwa ni pamoja na kuimarisha usimamizi wa soko na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta kwa...
π
https://t.co/kRhax2f2U2
#michuzitv_updates :-Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Dkt. Rhimo Nyansaho, amekutana na kuwapongeza vijana wa JKT walioshiriki katika ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, akisisitiza kuwa Serikali inatambua na kuthamini mchango...
πhttps://t.co/bisO2luLCj
#michuzitv_updates :-Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dkt. Tausi Mbaga Kida, amewataka vijana kutumia ubunifu, teknolojia, utafiti na ujasiriamali kushiriki kikamilifu katika kufanikisha malengo...
ππ
https://t.co/IuGr3vyQYn
#michuzitv_updates :-Waziri wa Nishati na Makamu wa Rais Mteule, Mhe. Deogratius Ndejembi, amelipongeza Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) kwa juhudi zake za kuwezesha uzinduzi wa Mpango wa Teknolojia za Atomiki Zilizopewa...
π
https://t.co/rhEfipsTsz
#michuzitv_updates :-Serikali imeendelea kusisitiza umuhimu wa kuhakikisha elimu inayotolewa katika vyuo nchini inakuwa na ubora unaokidhi viwango vinavyokubalika, ikieleza kuwa ubora wa elimu una mchango mkubwa katika usalama na maisha ya wananchi
π
https://t.co/l6owpW7Z3E
#michuzitv_updates :-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Diaspora ya Afrika (ADDI), Balozi Afrikana Chihombori-Quao, jijini Dar es Salaam, ambapo...
π
https://t.co/DLYD6mEYfT
#michuzitv_updates :-WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Agosti 23, 2026, amefanya ziara ya kushtukiza katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala, Dar es Salaam, kukagua hali ya utoaji wa huduma kwa wananchi.
https://t.co/vcXvtsxAm0
#michuzitv_updates :-Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Antoine Kajangwe, yaliyolenga kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda katika...
π
https://t.co/lwTyMBMTjk
#michuzitv_updates :-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) Agosti 22, 2026, katika eneo la mradi Rufiji, Mkoa wa Pwani.
π
https://t.co/k9yzlNyOhN
Kusini Unguja, Zanzibar
Leo nimehitimisha Tamasha la Kizimkazi 2026, baada ya siku tatu za shangwe, fursa na shughuli mbalimbali zilizolenga kujenga umoja, kukuza fursa za biashara na uwekezaji, kutangaza utamaduni na utalii wetu, pamoja na kufungua miradi ya maendeleo kwa wananchi. Tunatarajia matokeo ya shughuli hizi kuendelea kuonekana hata baada ya tamasha kumalizika.
Ninawashukuru wote walioshiriki na kufanikisha tamasha hili. Ninawasihi tuendelee kushikamana, tudumishe amani, utulivu na usalama wa nchi yetu, kwa kuwa ndiyo msingi wa maendeleo na ustawi wetu.
#michuzitv_updates:-Serikali imeandaa operesheni maalum ya kukagua utekelezaji wa mikataba ya msaada wa kiufundi katika sekta ya madini, kwa lengo la kuhakikisha mikataba hiyo inafuata sheria na hailengi kuwanyima wamiliki wa leseni mapato na haki zao.
π
https://t.co/YYt3VYhjom
#michuzitv_updates :-Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, amepongeza Wizara ya Nishati na taasisi zake kwa kutumia Maonesho ya Tamasha la Kizimkazi kuwaelimisha wananchi kuhusu miradi, mafanikio na fursa katika Sekta ya Nishati.
π
https://t.co/XSltiWiNgW
#michuzitv_updates:-Naibu Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Bukombe, Dkt. Doto Biteko amesema mashindano ya Ngalawa Race ni sehemu muhimu ya burudani na fursa za kiuchumi kwa vijana, yaliyoipa mvuto Kizimkazi Festival 2026.
π
https://t.co/kWMxXuGh5i
#michuzitv_updates :-Wizara ya Nishati pamoja na taasisi zake imetunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake katika kufanikisha Mdahalo wa Nishati Safi ya Kupikia, uliofanyika Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Agosti 2026.
π
https://t.co/QhoEbuy3Gx
#michuzitv_updates :-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema michezo ina nafasi kubwa katika malezi na makuzi ya watoto, kwa kuwa huwasaidia kujenga ubunifu, nidhamu, tabia njema, heshima na uwezo...
https://t.co/mvGuDPsDHW
π