Kati ya kundi linalokuja kwa kasi na halilizungumziwi ni hili la wanawake wanaoitana kwenye vikao na kuanza kuwafundisha wanawake wengine ujinga "usimuonyeshe mumeo mali zako coz wanaume ni matapeli" wewe mmeo unamuona kabisa anaipambania familia yake unabeba ushauri huo๐๐พ
Moyo na Figo ni mtu na rafiki yake. Baada ya moyo kutanuka nilienda hospitalini na kuambiwa aslimia ya kufanya kazi ni 33% Mue hata sikuelewa, nikapata tiba, baada ya mwaka kupita nikarudi tena nikaambiwa uwezo umeongezeka na kuwa 70% ila sasa kuna tatizo la Figo,
@Rydx_017 Hapa ndipo penye maajabu ya mwenyezi Mungu yani unaona kabisa utofauti wa Mwanaume na Mwanamke kwenye kuyaendea mambo kwa namna walivyoumbwa tabia zao๐